RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI MTENDAJI MPANGO WA MAZINGIRA UNEP

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bibi Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dodoma leo Julai 09,2021.

Picha na Ikulu)

0/Post a Comment/Comments