UJENZI WA DARAJA MTO MAYUNGU MKOANI KATAVI KUONDOA ADHA YA WANANCHI KUSAFIRI KWENYE MAJI

 Ujenzi wa Daraja  katika Mto Mayugu  katika eneo la Kabunde  linalojengwa  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe , Mkoani Katavi kupitia  Wakala wa Barabara  za Vijijini  na Mijini (TARURA) litakalogharimu zaidi ya shilingi milioni 112 kwa kutumia fedha za mfuko wa barabara katika bajeti ya fedha ya mwaka 2020/2021


lengo la kufungua daraja hilo  ni kunusuru adha ya wananchi  kuvuka kwenye maji katika eneo hili wakati wa mvua . Pia kutoa huduma za usafiri na usafirishaji  wa mazao  ya wakulima kutoka shambani kwenda sokon.

Daraja hilo likikamilika  linategemewa  kutoa huduma  kwa wananchi zaidi ya watu 91,313 na kuwahudumia wakulima  zaidi 12,692 kwa ajili ya kusafirisha mazao  kwenda maeneo mbalimbali  kujipatia riziki.









0/Post a Comment/Comments