
Mwenyekiti wa Bodi Ya Wakurugenzi wa
Simba SC Mohammed Dewji amejihudhuru nafasi ya Uwenyekiti wa Bodi kutokana na
makubaliano waliyofikia wanakamati katika kikao kilichofanyika tarehe 21 mwezi
huu.
Nafasi yake imechukulia na Salim Abdallah maarufu 'Try Again' ambaye
alikuwa makamu wake.
Mohammed Dewji amesema ataendelea
kubaki kuwa muwekezaji na mwanahisa wa timu lakni kwenye nafasi ya Mwenyekiti
ameamua kupumzika kutokana na Muda mwingi yeye kutokuwa nchini.
Post a Comment