Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Mererani Mkoani Manyaara leo Sept 05,2021
kabla ya kuanza kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza
Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.
Wananchi wa Mererani Mkoani Manyaara wakimsikiliza Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwasalimia
leo Sept 05,2021 kabla ya kuanza kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour
kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.



Post a Comment