MAJALIWA ATEMBELEA ENEO LA UWANJA WA NDEGE WA ZAMANI JIJINI MBEYA LILILOTENGWA KWA AJILI YA MACHINGA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya , Juma Homela kuhusu ujezi wa vibanda na miundombinu mingine katika eneo jipya la wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Machinga la uwanja wa ndege wa zamani wa Mbeya  wakati alipotembelea eneo hilo jijini Mbeya, Novemba 30, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kibanda nambari moja kikiwakilisha vibanda vingine vingi vya wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Machinga wakati alipotembelea eneo jipya la wafanyabiashara hao lililoanzishwa  na Jiji la Mbeya kwenye  Uwanja  wa ndege wa zamani wa Mbeya,  Novemba 30, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0/Post a Comment/Comments