WIZARA YA AFYA YASHIRIKI KIKAMILIFU SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 




*****************

Na. WAF - Kondoa - Dodoma 

Watumishi Wanawake wa Wizara ya Afya wakiwa katika maandamano Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kimkoa katika Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma.

Katika maadhimisho hayo Huduma mbalimbali zimetolewa zikiwemo uchangiaji wa Damu pamoja na upimaji wa Virusi vya Ukimwi.

Maadhimisho hayo hufanyika kila Mwaka ambapo Mwaka huu yana kaulimbiu isemayo “Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia Chachu Katika Kuleta Usawa wa Kijinsia.”

#MtuNiAfya

#JaliAfyaYako

0/Post a Comment/Comments