SERIKALI YAWATAKA WADAU WA BISHARA YA CARBON KUHAKIKISHA INACHANGIA PATO LA TAIFA.

.....................

Timothy Marko .

SERIKALI imeingia Makubaliano na nchi ya china katika Biashara ya Carbon

Akizungumza katika kikao cha wafanyabiashara na Makapuni ya biashara hiyo jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jaffo amesema tayari serikali inayatambua makampuni 34 yanayo jiuhusisha na Biashara ya Carbon ambapo shilingi bilion 34.7 zimepatikana biashara ya carbon .

"serikali inataka fedha hizi zinazo tokana na Biashara ya carbon ⁷kuweza kishughulikia Sekta nyingine "Alisema Waziri wa Mazingira Selemani Jafo.

Waziri Jafo amesema kuwa miradi 34 imesajiliwa kati ya hiyo miradi 9 ipo katika mchakato wa kusajiliwa.

Alisema Lengo la serikali nikuona biashara yacarbon inachochea uchumi naukuaji wa sekta nyingine.

"Hapa Watalamu wa sekta hii ninacho hitaji fedha serikali inahitaji fedha ilikuweza kuchochea ukuaji wa uchumi na pato lataifa kwa ujumla"Aliongeza Waziri wa Mazingira Selemani Jafo.

Jaffo alisisitiza kuwa lengo la serikali kuona makampuni haya yanayojihusisha na biashara hiyo mchanganuo wa biashara ya carbon unaonekana Asilimia ngapi inapatikana kwa serikali na Asilimia Ngapi inaenda kwa Muwekezaji.

Kwa upande wake Mratibu wa taasisi hiyo Carbon center ProfesaEliakimuDhahabu amesemakuwa itaendelea kuyafanyia magiziya serikali ambapo Shirika la Tanapa naTFS ina miradi mitatu.

Miradi ya Nishati ipo katika hatua nzuri ya utekelezaji.

"Mimi na wadauwangu tunayapokea maelekezo yako Mheshimiwa natutayafanyia kazi".Alisema Profesa Eliakimu Dhahabu.
 

0/Post a Comment/Comments