SERIKALI : VIFO VYA MAMAWAJAWAZITO VIMEPUNGUA HADI KUFIKIA VIFO 55,6000.








                                *********

Timothy Marko.

SERIKALI imesema katika kipindi cha mwaka 2022/23 imeweza kupunguza Vifo vya mama na mtoto kutoka vifo 100,000 hadi kufikia Vifo 55,6000 .

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa huduma ya upasuaji wa Dharura (OPD) imeongezeka kutoka Vituo 187 (2022) hadi Vituo 226.
" Vifo vya mama na mtoto vimepungua hadi kufikia Asilimia 95 ,2023, Kutoka vifo 10000,hadi kufikia vifo55,6000"Alisema Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

Waziri Ummy Mwalimu amesema kuwa huduma ya Dharura (ICU) kwa Mwaka 2022 vimeongezeka Vitanda 528,203100.
Alisema  watanzania wanaotibiwa katika ngazi ya zahanati ni Asilimia 33 huku Vituo vya Afya vya kawaida ni Asilimia 18 huku wanaohudumiwa katika hospitali za wilaya ni Asilimia 23.

"Huduma za Afya yauzazi na Mama na mtoto imeongezeka kwa 97kwa wajawazito na wanaohudhuria kiliniki imeongezeka  kwa Asilimia 102 lengonikufikia Asilimia 80 kama ilivyoshauriwa na WHO"Aliongeza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

0/Post a Comment/Comments