Na.Timothy Marko.
SERIKALI imesema katika kuwa wezesha wasichana kidigitali imewezesha Ujenzi wa Minara ya Mawasiliano ilikutomuacha Nyuma Msichana kidijitali.
Akizungumza katika uzinduzi wa Programu ya Binti kidigitali inayoratidiwa UN women ikiwa na kaulimbiu ya kizazi cha Usawa jijini Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya jamii Dk Dorothy Gwajima amesema kuwa ili kuliwesha kundi la wasichana kutoachwa nyuma kidigiti serikali imewezesha ujenzi wa shule zenye Mchepuo wa Sayansi (25) ili kuziwezesha Shule hizo kuendana kasi ya teknolojia kidijitali.
"Katika kuwawezesha Wanawawake,na Wasichana kiuchumi serikali imezesha Upatikanaji wa Elimu ya kidijiti ilikutomuacha Msichana nyuma"Alisema Waziri Wa Maendeleo yajamii Dorothy Gwajima.
Dk .Dorothy Gwajima aliongeza kuwa serikali imejizatiti kwa kushirikiana Baraza la Uwezeshaji kiuchumi (NEEC) limeweza kuzindua mpango maalumu utakaowawezesha wanawake kutoachwa nyuma kidigitali
Aliongeza kuwa lengo ni kuhakikisha Wasichana wanakuwa mstali wa mbele katika teknolojia ya kidigiti.
Kwaupande wake Muwakilishi wa Ubalozi wa Ubeligiji Fanny Heylen Fanny Hellen amesema Ni vyema wanawake na wasichana kutoachwa nyuma katika nyanja yateknolijia ya Mawasiliano ilikuweza kuwajengea uwezo vijana na wanawake kiteknoliojia.
Aidha,Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martida Mashauri UNwomen imewawezesha Mabinti kidigitali katika miradi mbalimbali yataasisi hiyo imemuwezesha kutoa Elimu ya Ujasiliamali kupitia kidijitali.
Alisema kupitia taasisi UN women Taasisi hiyo inawewezesha wanawake nawasichana kupata fursa mbalimbali kukua katika Tenknolojia.
"UN women inatupafursa mbalimbali yakukua kiteknolojia" Aliongeza Matrida Mashauri.
Mwafunzi wa UDSM Anna Malamsha Alisema kuwa kupitia mradi wa Binti kidigitali imewezesha kukuza ujuzi wa Usanifu kurasa kwa kutumia Elimu aliyofundishwa kwenye chuo hicho.
" Nimeweza kujifunza teknojia na programu za kompyuta Utengenezaji Wavuti"Alisema Anna grace Malamsha.


Post a Comment