MKUTANO WA NISHATI WA VIONGOZI - AFRIKA


 ****

Matukio mbalimbali ya mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300) inayofanyika leo Januari 27, 2025 jijini Dar es salaam. 

Mkutano huo umefunguliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko
















0/Post a Comment/Comments