::::::::
Hadi Machi 2025, EWURA ilitoa leseni 580 za biashara ya
mafuta ambapo kati ya hizo, leseni 204 zilikuwa mpya na 376 zilikuwa zimehuishwa.
Aidha, Serikali kupitia EWURA imeendelea kusimamia mkondo wa kati na chini wa Sekta ndogo ya mafuta ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika, usalama na ubora wa miundombinu na bidhaa za mafuta nchini.
Usimamizi huo umefanyika kwa kutoa vibali vya ujenzi wa mindombinu, leseni za biashara pamoja na kufanya kaguzi mbalimbali.
#Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/26
Post a Comment