OFISI ZA TRA KUWA WAZI NCHI NZIMA


 ::::::::::::

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa ofisi zake zitakuwa wazi Jumamosi tarehe 29 na Jumapili tarehe 30 kwa nchi nzima kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni.

TRA imewakaribisha kwenda kupata huduma.

0/Post a Comment/Comments