MPOTO ASAINI MKATABA WA UBALOZI SHIRIKA LA POSTA

                   ***********************

Na Mwandishi Wetu

MSANII wa Kizazi Kipya nchini, Mrisho Mpoto, ameingia makubaliano na Shirika la Posta Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja kutangaza shughuli zinazofanywa na Posta.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mrisho Mpoto amesema atahakikisha anatumia nafasi hiyo kutangaza shirika hill kwa shughuli wanazozifanya.

"Niwahakikishie kuwa mmechagua MTU sahihi kwa wakati sahihi na kwa sasa nawahakikishia kuwa Shirika la posta sasa limebadirika kutoka kwenye barua na sasa wanatuma mizigo kidigital" amesema Mpoto

0/Post a Comment/Comments