MUONEKANO WA SERIES YA NOTI MPYA YA SHILINGI ELFU KUMI KUANZA KUANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI










Muonekano wa series ya noti mpya ya shilingi elfu kumi ambazo zinatarajiwa kutumika hivi karibuni.

Hata hivyo benki  Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazodai  noti mpya ya shilingi elfu kumi itakayowekwa kwenye mzunguko, hii ni baada ya kusambaa kwa picha za noti hiyo ikiwa na picha ya Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.

Taarifa ya Benki kuu imeeleza kuwa taarifa hizo sio za kweli na haijatoa tamko lolote kuhusu uzinduzi wa noti mpya ya thamani hiyo hivyo Wananchi wanatakiwa kupuuza picha hizo. 

0/Post a Comment/Comments