SOLSKJAER SASA BYE BYE MAN U


........................

Klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi kuu ya Uingereza leo imethbitisha kuachana na Kocha wake Ole Gunnar Solskjaer ambaye ameondoka ndani ya timu hiyo baada ya kushindwa kushinda taji lolote ndani ya miaka mitatu mfululizo.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa Leo na Timu hiyo imesema  Mchezaji wa zamani wa timu hiyo Michael Carrick ndiye atachukua mikoba yake kwa muda kabla ya kocha mpya kuchaguliwa atakayemaliza msimu huu wa 2021/22.

Itakumbukwa kuwa Manchester united Katika Michezo iliyopita ya Ligi imepoteza Kwa kufungwa magoli ya fedheha ikifungwa mabao 5-0 mbele ya Liverpool pia kwenye dabi dhidi ya Manchester City ilichapwa mabao 2-0 mwanzoni kabisa mwa Novemba huku mwishoni mwa wiki ikipoteza Dhidi ya Watford  kwa kufungwa Jumla ya Mabao manne kwa mo

0/Post a Comment/Comments