Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla kwa kampeni ya usafi Dar es salaam.
Rais ameyasema hayo leo katika Mkutano hadhara Mbagala kwenye hafla ya uwekaji jiwe la msingi Mradi wa Magari mwendokasi.
Aidha Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza mkuu wa mkoa kwa kazi Nzuri Na wananchi wote walioshiriki zoezi la usafi leo Disemba 04 ikiwa ni uzinduzi rasmi wa kampeni ya usafi yenye kauli mbiu SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM
Post a Comment