KATAVI KUONGEZEWA SKIMU ZA UMWAGILIAJI KUTOKA 29 KUFIKIA 35

*******

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imejipanga kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo na kukifanya kuwa kilimo Biashara.

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa vihenge, maghala ya kisasa ya msimu wa ununuzi ya nafaka kwa mwaka 2024/2025 mkoani Katavi.

Dkt.Samia amewahakikishia wakulima wa mkoa huo pamoja na kuwepo kwa skimu 29 za umwagiliaji, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji itaongeza skimu  zingine 6 ili kuwa na kilimo chenye tija.





 

0/Post a Comment/Comments