KAPINGA KATIKA HAFLA YA UFUNGAJI WA MAONESHO YA KITAIFA YA MADINI GEITA*






                         *******

Naibu Waziri wa Nishati,  Mhe. Judith Kapinga  leo Oktoba 13, 2024 ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali  pamoja na wananchi katika hafla ya kuhitimisha  Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita.

Mgeni rasmi katika kilele cha Maonesho hayo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

0/Post a Comment/Comments