Katika tuzo hizo zilizotolewa na Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko, MSD imeibuka na ushindi wa tuzo
tatu ambazo ni pamoja na Taasisi bora kiutendaji (Club of Ten best performers),
mshindi wa kwanza kwa taasisi inayotoa fursa za ajira (First runner up job
creation na mshindi wa pili Mwajiri bora sekta ya umma (Second runner up Public
Sector).
Post a Comment