Uongozi wa kimaono wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea
kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha
nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki. Hili lilidhihirishwa hivi
karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto, alipokiri waziwazi katika
maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwamba Kenya
imesalia nyuma kibiashara huku Tanzania ikipiga hatua kubwa chini ya uongozi wa
Rais Samia.
RAIS SAMIA :AIONGOZA TANZANIA KUONGOZA KATIKA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI.
******
Post a Comment