RAIS SAMIA ATOA SALAMU ZA POLE KWA KUMPOTEZA LAWRENCE MAFURU

........................

Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru amefariki dunia. 

Mafuru amefariki dunia  leo Novemba 9/2024 akiwa nchini India kwa matibabu. 

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa familia na Watanzania wote kwa kumpoteza kiongozi huyo.

0/Post a Comment/Comments