******
Chuo cha Ustawi wa Jamii Kinashiriki Tamasha la kimataifa la Maendeleo ya Filamu na Sanaa ambapo wanafunzi wa chuo ustawi wa jamii wamepata nafasi ya kushiriki katika mdahalo kuhusu Jinsia na Sanaa, mdahalo ambao umeitwa "Binti Longa Gender" na Kubadilishana mawazo na wasaanii na wawezeshaji katika mdahalo huo.
Tamasha hilo ambalo lilianza tarehe 11 Desemba na Kuisha tarehe 15 Desemba 2024 linafanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama Dar es Salaam ambapo linakutanisha wadau mbali mbali.
Post a Comment