Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa
ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza
utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa
shughuli mbalimbali.
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO HAYA KUCHOCHEA UTALII.
****
Post a Comment