*****
Muda mfupi baada ya kusambaa kwa taarifa ya kudaiwa kukamatwa kwa MariaSarungi Jijini Nairobi na Watu ambao hawajafahamika, amejitokeza hadharani na kusema amerejea nyumbani na yupo salama, pia atazungumza zaidi kesho Januari 13, 2025
Pia, Mwanasheria Fatma Karume naye kupitia X ameandika "Thank you kwa nyote na kwa aliyehakikisha my darling Maria is safe. Nimeambiwa karudi nyumbani."
Awali, Taarifa iliyotolewa na Shirika la Haki za Binadamu (Amnesty International) kupitia Mtandao wa X ilieleza tukio hilo limetokea leo, Januari 12, 2025 mida ya Saa 9 Alasiri
Post a Comment