NAIBU WAZIRI MOLLEL AKUTANA NA KAMATI YA MAB

*****

Tausi Mbowe

Naibu Wazii wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ukaguzi na Vihatarishi (MAB) ya Mamala ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) . 

Kikao hicho kimefanyka leo Jumanne Februari 18,2025 jijini Arusha.

Pamoja na mambo mengine kikao hiko kinalengo la kujadili namna nzuri ya udhibiti. 

Aidha, wajumbe wa kikao hiko pia wanatarajia kujadili na kuhakikisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba vinapatikana kwa bei nafuu. 

Wajumbe hao wanajukumu la kurahisisha upatikanaji, udhibiti na ubora wa vifaa dawa, vifaa tiba pamoja na vitendanishi chini ua Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzana (TMDA).


 

0/Post a Comment/Comments