"Kufuatia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi kuwa tarehe 27 na 28 Januari, 2025 Watumishi wa Umma wa Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani kutokana na barabara nyingi kufungwa ili kupisha Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi Barani Afrika, mnajulishwa kuwa Wanafunzi wa shule na vyuo pia mnapaswa kusomea nyumbani kwa siku hizo mbili. Ko
Taasisi za sekta binafsi mnashauri kufanya vivyo hivyo ili kuepusha usumbufu ambao wafanyakazi na wanafunzi wanaweza kuupata."Amesema Msemaji wa serikali Greson Msingwa
Post a Comment