******
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa pole kufuatia kifo cha Baba mzazi wa Waziri wa OR-TAMISEMI Mhe Mohamed Mchengerwa
Alhaj Omary Mchengerwa amefariki Dunia Alfajiri ya Februari 24,2025 akiwa katika swala ya Umrah, Makkah.
Post a Comment