Na Ester Maile ...Dodoma
Yaasisi ya Utafit madini imeanzisha ujenzi wa maabara ya uchunguzi wa madini jijini Dodoma pia GST imetaja mkoa huo wa Dodoma kuwa mkoa wenye madini mengi ya aina mbalimbali .
Kaimu mtendaji mkuu Notka Banteze ameyasema hayo wakayi wa mkutano wake na waandishi wa habari leo 27 march 2025 wakati akizungumzia mafanikio ya Taasisi hiyo ndani ya kipindi cha miaka minne.
Pia GST imeongeza mashirikiano na taasisi za ndani na nje ya nchi kwa lengo la kubadilishana uzoefu nateknolojoa katika maswala ya utaftiwa madini Taasisi ambazo zinashirikiana na MoU ni pamoja na vyuo vikuu vya Dodoma na Dar.es Salam, Shirika la Taifa la madini( STAMICO) taasisi za jiolojiaza Korea kusini Urusi finand na Burundi.
Taasisi ya utafiti wa madini GST imejipanga kufikia mwaka 2025 _ 2026 kufanya utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia ndege ili kuongeza eneo la nchi lililofanyiwa utafiti huo kutoka asilimia 16 hadi kufikia asilimia 34kwa sasa na utagiti huo unatarajiwa kufanyika katika eneo lenye ukubwa wa asilimia 18 ya eneo lote la nchi yetu lengo la serikali ni kufikia asilimia 50 ifikapo 2030 na utafiti huo ukikamilika utakuwa na manufa mengi kwa nchi yetu katika sekta za madini ,kilimo,maji,mazingira mipango mji na sekta ya ujenzi.
Post a Comment