MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE

     *****

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameshiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa kumi na Tisa wa Bunge Leo Alhamisi Aprili 10, 2025. 

Wabunge mbalimbali wameendelea kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa Mwaka 2025-2026, baada ya kuwasilishwa na Waziri Mkuu Bungeni jana Machi 9, 2025.




 

0/Post a Comment/Comments