Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki katika maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Charles Martin Hilary, amezikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, tarehe 14 Mei 2025.
RAIS MWINYI ASHIRIKI MAZIKO YA CHARLES HILARY
::::::::
Post a Comment