RAIS WA YANGA INJINIA HERSI SAID ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

::::::::
Na ahmed kombo

Rais Wa Club ya Yanga Africa SC, Injinia Hersi Said  akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Shule ya Msingi Amani Gomvu Mtaa wa Minondo kata ya Somangira Wilaya ya  Kigamboni Jijini Dar es salaam  kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, leo tarehe 21 Mei, 2025.















 

0/Post a Comment/Comments