BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM



.......

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Idara wa Vyombo vya Habari vya CCM, wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Media Group (UMG), Dennis Msacky, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo Alhamis, tarehe 5 Juni 2025.

0/Post a Comment/Comments