CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA CHASHAURIWA KUJITANGAZA ZAIDI


 ::::::;;;

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkalama Singida Happyness J Sulle ameshauri uongozi wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa www.nmtc.ac.tz kuongeza wigo wa kujitangaza na kufikiria hitaji la kuongeza kampasi katika maeneo ya mikoa mingine ili kuweza kuwafikia wahitaji wengi zaidi katika taaluma ya masuala ya hali ya hewa.

Hayo yamezungumzwa leo alipotembelea banda la TMA katika maonesho ya kitaifa ya wakulima Nanenane 2025 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

                    

0/Post a Comment/Comments