Mtu anayetuhumiwa kujaribu kumchoma kisu Rais wa Mpito wa Mali, Assimi Goïta wiki iliyopita amefariki dunia akiwa hospitalini chini ya ulinzi.
Mtu huyo ambaye taarifa zake hazijafamika kwa undani, alikamatwa baada ya kushindwa kutekeleza azma yake katika Msikiti ambako Rais alihudhuria Ibada.
Taarifa ya Serikali ilisema afya ya mtu huyo ilikuwa imezorota akiwa chini ya ulinzi na sababu za kifo chake zaendelea kuchunguzwa.
#TimesFMDigital

Post a Comment