Matukio Katika Picha, SABASABA 2021

 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof.Kitila Mkumbo na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndungulile, Leo Julai 7, 2021 wameshuhudia uzinduzi wa Ushirikiano wa uendeshaji wa Duka Mtandaoni Kati ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) na Shirika na Posta Tanzania, uliofanyika Katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam ( SABASABA)
ambayo yanaendelea na yanatarajiwa kuhitimishwa hapo Julai 13, 2021.











0/Post a Comment/Comments