Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga bastola juu kuashiria Uzinduzi wa
mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon)
ya kilomita 21 zilizoanzia leo katika viwanja vya Ngome Kongwe Mjimkongwe
na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na
Ikulu] 18/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi shada la mauwa Nd,Pamela
Chepkoech kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanawake katika
mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon)
ya kilomita 21 alietumia Saa 1:19:50 yaliyofanyika leo katika
Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zazibar.[Picha na Ikulu] 18/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimvalisha nishani Nd,Panuel
Mkumbo kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanaume katika mashindano ya
Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita
21 aliyetumia Saa 1:04:48 yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/07/2021.
Wanariadha katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 21 wakijitayarisha kuanza Mbio hizo leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar,ambapo mgeni rasmin alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 18/07/2021.




Post a Comment