RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDANO NA RAIS WA BARAZA LA UMOJA WA ULAYA
byDar Leo-0
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Mtandao na Rais
wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel, leo Julai 12,2021 Ikulu Jijini
Dodoma. Picha na Ikulu
Post a Comment