RASHFORD KUFANYIWA UPASUAJI WA BEGA

 



Klabu ya Manchester United imetoa taarifa kuhusu mshambuliaji wake Marcus Rashford.


Manchester United imesema kufuatia mashauriano na mchezaji huyo pamoja na wataalam wa afya, Marcus atafanyiwa upasuaji ili kumaliza tatizo lake la bega hivyo atakaa nje mpaka pale atakapopona.


Marcus aliwakilisha England kwenye Euro 2020 ambapo England ilipoteza mchezo wa fainali kwa mikwaju ya penati dhidi ya Italia.




#TimesFMDigital 

0/Post a Comment/Comments