WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI MOROCCO..
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Morocco baada ya kumaliza ziara ya
kikazi,Julai 18,2021 (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Amos Makalla alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere akitokea nchini Morocco baada ya kumaliza ziara ya kikazi, Julai 18,2021 (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Post a Comment