WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MOROCCO KWA ZIARA YA KIKAZI..

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli Alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mohammed V uliopo jijini Casablanca nchini Morroco, Julai 12, 2021
6025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mohammed V uliopo jijini Casablanca nchini Morroco, Julai 12, 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca nchini Morroco, Julai 12, 2021

0/Post a Comment/Comments