Mawaziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Wizara ya Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Pamoja na Maafisa mbalimbali
wakifuatilia Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa,
Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya
Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar
es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akisalimiana na Mkuu wa Operesheni na Mafunzo, Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ), Meja Jenerali Jacob Mkunda, kabla ya kuanza Mkutano wa 23
wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akifuatilia
Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Liberata Mulamula, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 23 wa Baraza la
Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam,




Post a Comment