Zaidi ya 99.99% ya watu waliopewa chanjo dhidi ya Covid-19 hawajapata madhara yaliyosababisha kulazwa hospitalini au kifo, taarifa hii ni kulingana na data za hivi karibuni kutoka Vituo vya Udhibiti na Kuzuia Magonjwa vya Marekani.
Takwimu zilizotolewa na wataalam wa afya zinaonyesha chanjo za Covid-19 zinafaa kupunguza na kuzuia vifo vinavyosababishwa na Covid-19 na ndiyo silaha bora zaidi nchini Marekani kwenye kupunguza maambukizi.
Cc:bbc

Post a Comment