JERRY SLAA AWASILI BUNGENI KUHOJIWA

 




Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Spika Job Ndugai uliomtaka kufika mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.


Ameitikia wito ili kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.



0/Post a Comment/Comments