Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba
akiongoza wajumbe wa Kikao cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara ngazi ya mawaziri
kumuombea aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias
Kwandikwa aliyefariki jana.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga
(katikati), Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdulla
(kushoto) na mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Bw. Haji Janabi wakifuatilia mjadala katika kikao
cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara ngazi ya mawaziri. Kikao hicho
kimefanyika leo tarehe 03/08/2021 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Selemani
Jafo akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara
ngazi ya mawaziri kikao hicho kimefanyika leo tarehe 03/08/2021 katika Ukumbi
wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza kikao cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara ngazi ya mawaziri chenye wajumbe kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Mwenyekiti mwenza katika kikao hicho ni Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Fedha na Mipango Mhe. Jamal Kassim Ali. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 03/08/2021 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Post a Comment