Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa akiwasilisha taarifa ya Wizara kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agosti 20,2021
Viongozi Wakuu wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wakichukua maoni kutoka kwa
wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
walipokuwa wakichangia taarifa ya Wizara kuhusu utekelezaji wa majukumu
ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati wa kikao cha Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agosti 20,2021.Viongozi Wakuu wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakijadiliana kabla ya kuingia
kwenye kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
kuwasilisha taarifa ya Wizara kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Baraza la
Michezo la Taifa (BMT), Shirikisho la Mpira wa Miguu na Bodi ya Ligi katika
ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, leo Agosti 20,2021.



Post a Comment