Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino, Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua shamba
la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto
kwake ni Waziri Mkuu Mstaasfu, John Malecela na kushoto ni Naibu Waziri wa
Kilimo, Hussein Bashe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua bwawa la Maji la shamba la
zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino Dodoma, Agosti 13, 2021. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment