Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia Hakainde Hichelema.
Pichani ni Rais Samia akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Zambia alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia leo Jumanne Agosti 24, 2021


Post a Comment