Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa jiji la Dar es Salaam, katika kikao cha pamoja kujadiliana namna ya kuboresha utalii wa fukwe kwa lengo la kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii. kikao ambacho kilijadili namna bora ya kutumia maeneo ya wazi ya jiji hilo. Agosti 17, 2021. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, Katika kikao cha pamoja cha
kujadiliana namna ya kuboresha utalii wa fukwe kwa lengo la kuchochea shughuli
za kiuchumi na kijamii jijini Dar es Salaam, Agosti 17, 2021. Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment