Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa shukrani kwa wachezaji wake, Metacha Manata na Farouk Shikalo ambao wameachana na klabu hiyo.
Wachezaji hao ambao wote ni makipa wamemaliza mikataba yao kwenye Klabu ya Yanga ambayo ilikuwa ni ya muda wa miaka miwili kwa kila mmoja.
Yanga imetoa shukrani hizo kupitia taarifa waliyoitoa kwa umma.

Post a Comment