AFUKUZWA NCHINI KWAKE KWA UZURI ULIOPITILIZA

 





Inawezekana unavijua visa mbalimbali vilivyowahi kutokea duniani lakini leo nakupa hiki


Mwanaume mzuri zaidi kuwahi kutokea duniani ambapo uzuri wake ukapelekea kufukuzwa nchini kwake Saudia mwaka 2013 

Serikali ikihofia wanawake wasingeweza kujizuia kumpenda.


Jina lake ni Omar Borkan Al Gala aliyezaliwa Septemba 23 mwaka 1989

Na kwa sasa ni mwanamitindo, muigizaji na mpiga picha wa Iraq katika Falme za kiarabu.



#Timesdigital


0/Post a Comment/Comments